Psalms 72:17

17 aJina lake na lidumu milele,
na lidumu kama jua.

Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake,
nao watamwita aliyebarikiwa.
Copyright information for SwhNEN